Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti.
Kwa
mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri katika
Hoteli ya Lamada iliyopo Mbezi-Beach jijini Dar hivi karibuni baada ya
mrembo huyo kutua Bongo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kwenye
makao yake yasiyo wazi.
Katika
picha za tukio hilo, Masogange, akiwa kwenye vazi moja na kwa nyakati
tofauti, alikuwa akijiachia kimahaba na wanaume hao, mmoja akitajwa kuwa
ni raia wa Uganda.
“Yaani unaambiwa Masogange alikuwa na wanaume hao wawili tofauti bila kujali ataelewekaje… da! Jamani hawa dada zetu nao,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya taarifa hizo, Masogange alipigiwa simu ili atolee ufafanuzi tukio hilo lakini hakupokea simu.
Chanzo: Gpl
Chanzo: Gpl
Post a Comment