Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi
Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga jioni ya leo
kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa
Lindi na baade ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani,ambapo
anatarajia kujinadi maeneo mbalimbali ya mkoa Pwani katika kuwaomba
ridhaa ya kuwaongoza wananchi katika awamu ya tano,katika uchaguzi Mkuu
unaotarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita chama cha Mapinduzi,Dtk
John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Mkuranga,Ndugu
Abdallah Khamis Ulega mbele ya umati wa wakazi wa Mkuranga jioni ya leo
kwenye kutano wa kampeni.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita chama cha Mapinduzi,Dtk
John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Mkuranga,Ndugu
Abdallah Khamis Ulega mbele ya umati wa wakazi wa Mkuranga jioni ya leo
kwenye kutano wa kampeni
Sehemu
ya Umati wa Mkuranga wakishangila jambo kwenye mkutano wa kampeni wa
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli uliofanyika jioni ya leo.
Sehemu
ya Umati wa Mkuranga wakishangila jambo kwenye mkutano wa kampeni wa
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli uliofanyika jioni ya leo.
Dkt. Magufuli akiwa ameshika kadi za Wananchama wa upinzani walioamua kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni
Dk
Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mgombea ubunge Jimbo la
Nchinga, Said Mtanda katika mkutano wa kampeni Kata ya Nangaru.
Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kilwa Kusini, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM mjini Kilwa Masoko.
Wananchi
wa Kibiti wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli alipokuwa
akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni na kuwaomba kura wananchi hao ili
wamchague akawe Rais wa awamu ya tano kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa
Oktoba 25 mwaka huu.
Wananchi wa Nchinga wakifuatilia mkutano wa kampeni
Wananchi
wa Kata ya Nangaru, Jimbo la Nchinga, wakishangilia baada ya kumuona Dk
Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika Kata ya
Nangaru, Jimbo la Nchinga, wMkoa wa Lindi
Post a Comment