Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli.
Magufulika staili bado iko kwenye chati .
Mgombea
urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Kisesa
wakati akiwa njiani kuelekea Magu kwenye mkutano wa kampeni.
Wakazi
wa eneo la kisesa wakifuatilia namna Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli
alivyokuwa akijinadi wakati akielekea Magu kwenye mkutano wa kampeni mapema jioni ya leo.
Wakazi
wa mji wa Magu wakishangilia jambo wakati Mgombea Urais wa CC Dkt John
Pombe Magufuli alipokuwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni kwa ajili
ya kujinadi na kuomba kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 Mwaka huu kwenye
uchaguzi Mkuu wa Urais,Ubunge na Madiwani.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa Magu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jioni ya leo mjini humo.
Wakazi wa Magu wakifuatilia Mkutano wa kampeni
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia huku akiwa
amesimama juu ya gari katika mkutano wa kampeni mjini Ngudu , wilayani
Kwimba, jijini Mwanza, ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
Wananchi wakishangilia kukubali kumpigia kura Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Misungwi leo
Sehemu
ya umati wakazi wa Misungwi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt
Magufuli,alipokuwa akimwaga sera zake na kuwaomba wananchi ridhaa ya
kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,itakapofika Oktoba 25 mwaka
huu.
Sehemu
ya umati wa Wakazi wa mji wa Misungwi wakishangilia walipokuwa
wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
chama cha Mapinduzi CCM Dkt Magufuli
Mfano wa karatasi la kipigia kura la wagombea urais wa Tanzania Dk Magufuli na Makamu wake Samia Suluhu Hassan.
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika
mkutano wa kampeni mjini Misungwi, Mwanza jioni ya leo, ambapo aliwaomba
wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka
huu.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la
Misungwi, Charles Kitwanga kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini
humo jioni ya leo.
Post a Comment