Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal,
akimkpongeza Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera
(kushoto) wakati wa sherehe za kuwekwa Wakfu zilizofanyika kwenye
Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera leo Okt 18, 2015. Katikati ni
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa.
Baadhi
ya Viongozi na waumini wa dini ya Kikristu wakimsikiliza Makamu wa
Rais, Dkt.Bilal, wakati akihutubia kwenye Sherehe za kuwekwa Wakfu,
Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera,
zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera leo Okt
18, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili
la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani
Kagera (kulia) wakati alipowasili kwenye sherehe za kuwekwa Wakfu Askofu
huyo, zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera
leo Okt 18, 2015. Katikati ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na baadhi ya viongozi na waumini wa dini ya Kikristu katika
Ibada ya Kuweka Wakfu Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi,
Mkoani Kagera, zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani
Kagera leo Okt 18, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akielekezwa jambo na mmoja wa viongozi wa Kanisa hilo wakati wa ibada
hiyo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwahutubia wananchi na Waumini wa dini ya Kikristu, wakati wa sherehe
za kuwekwa Wakfu, Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi,
Mkoani Kagera, zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani
Kagera leo Okt 18, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Askofu mpya Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani
Kagera, Dkt. Abednego Keshmshahara (wa pili kushoto) Askofu Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa (kulia) baada ya
kukwekwa Wakfu.
Askofu
mpya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya
Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera, Dkt. Abednego Keshmshahara,
akihutubia baada ya kuwekwa Wakfu. Picha na OMR
Post a Comment