Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya Sherehe za Utoaji Tuzo kutoka Muungano wa
Wafanyabishara na Wamiliki wa Viwanda wa Tanzania na Uturuki,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hayatt Regency, jijini Dar es Salaam, jana
usiku Okt 11, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa waandaaji wa Tuzo zilizoandaliwa na Muungano
wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki,
wakati wa hafla ya sherehe hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt
Regency jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt. 11, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya Kamaka Ltd, Yusuf Manzi,
wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa
Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa Kampuni ya Kamaka Ltd, Yusuf Manzi,
wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa
Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki,
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya FBN Insurance Brokers, Fikira
Ntomola, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na
Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na
Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11,
2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa Kampuni ya Sami Agencies Ltd, Lulu
Mollel, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na
Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na
Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jana usiku Okt 11,
2015.
Post a Comment