Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya Hengyang Transformer Limited
kutoka TBEA ulioongozwa na Rais wa Kampuni hiyo Bw. Sun Hecheng, wakati
ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es
salaam leo Octoba 09,2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Bw. Sun Hecheng Rais wa Kampuni ya Hengyang
Transformer Limited kutoka TBEA, aliyeongoza ujumbe wa watu watano
kutoka kampuni hiyo uliomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar
es salaam leo Octoba 09,2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya
Hengyang Transformer Limited kutoka TBEA ulioongozwa na Rais wa Kampuni
hiyo Bw. Sun Hecheng, wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais
Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Octoba 09,2015.(Picha na OMR)
Post a Comment