Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini
Tanzania Mhe. Dianna Melrose wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa
Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Octoba 12,2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza
Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose na ujumbe aliofuatana nao wakati
Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam
leo Octoba 12,2015.
(Picha na OMR)
Post a Comment