Mwenyekiti
wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mjini Bi Waridi Juma akisoma
risala ya Wanawake wa Mkoa wa Mjini wakati wa mkutano na Mke wa Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, Mama Mwanamwema
Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Mkoa wa Mjini Amani
Zanzibar.
Viongozi
wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein, wakati wa mkutano wake na Viongozi hao uliofanyika
Afisi ya CCM Mkoa Amani Zanzibar.
Naibu
Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar Salama Aboud Talib akizungumza wakati wa
mkutano huo na kuwakaribisha Viongozi wa Ujumbe wa Kampeni ya Mama
Mwanamwema Shein, kuzungumza na Viongozi wa UWT Mkoa wa Mjini Unguja.
Makamu
Mwenyekiti wa UWT Mstaaf Balozi Amina Salum Ali akiwasalimia Viongozi
wa Umoja wa Wanawake Tanzania wa Mkoa wa Mjini katika mkutano na Mama
Mwanamwema kuwahamasisha Viongozi wa UWT Zanzibar katika kupiga kura
kwa Wagombea wa CCM.
Makamu
Mwenyekiti wa Mstaaf wa UWT Zanzibar Balozi Amina Salum Ali, akitowa
nasaha zake kwa Viongozi wa UWT kutumia nafasi zao kuwahamasisha
Wanawake kukipigia kura Chama cha Mapinduzi kwa Wagombea wao wa Urais wa
Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk John
Pombe Magufuli na Wagombea wote wa CCM.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Silima Borafya akizungumza na Viongozi wa
UWT katika mkutano wao na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,
wakati wa kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, na Mgombea
Urais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli.
Muasisi
wa Umoja wa Wanawake Tanzania Bi Asha Simba akiwasalimia Viongozi wa
UWT na kuwaomba kukipigia kura Chama cha Mapinduzi na Mgombea Urais wa
Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk John Pombe
Magufuli, mkutanom uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa
Mjini Amani Zanzibar.
Mke wa
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akitowa
nasaha zake kwa Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania kukipigia kura ya
Ndio Chama cha Mapinduzi na Wagombea wao wa Urais wa Zanzibar Dk Ali
Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli.
Viongozi
wa Umoja wa Wanawake Tanzania Mkoa wa Mjini Unguja wakimsikiliza Mke wa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema
Shein, akizungumza wakati wa mkutano huo wa kuwaombea kura Mgombea Urais
wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk. John
Pombe Magufuli. na Wagombea wote wa CCM.
Viongozi
wa Umoja wa Wanawake Tanzania wakionesha mikono juu kuashiria kuwapigia
Wagombea wa CCM Kura ya Ndio kwa Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali
Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli.
Mke wa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema
Shein, akiwahutubia Viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Mkoa wa Mjini
Unguja na kuwaomba kumpigia Kura ya Ndio Mgombea wa Urais wa CCM Dk Ali
Mohamed Shein na Mgombea Urais wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli na
Wagombea wote wa CCM.
Mke wa
Rais wa Zanzibar akiwahutubia Viongozi wa UWT wa Mkoa wa Mjini Unguja
wakati wa mkutano wake wa kampeni ya kumuombea Kura ya Ndio Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein.
Viongozi
wa UWT Mkoa wa Mjini wakifuatilia hutuba ya Mke wa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimuombea kura
Dk Shein.
Umoja
wa Wake wa Viongozi wa CCM Wabunge na Wawakilishi wakiwa katika ukumbi
wa mkutano wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar wakijumuika na
Mke wa Rais wa Zanzibar kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali
Mohamed Shein.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.
Zanzinews.com
Mob. 0777424152 or 0715424152.
Email. othmanmaulid@gmail.com
Post a Comment