Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi
wa Msumbiji wakigonga glasi ya kutakiana heri wakati wa dhifa ya
kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake katika
ikulu ya nchi hiyo jijini Maputo maarufu kama Ponta Vermelha usiku wa
kuamkia leo.Rais Kikwete alitumia fursa hiyo kuwaaga wananchi wa
Msumbiji akisisitiza kuwa uhusiano wa kidugu na kipekee kati ya nchi
hizo mbili utaendelea kudumu na kukua
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi
wakisimama wakati nyimbo za Taifa zikipigwa wakati wa dhifa ya kitaifa
iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake katika ikulu ya
nchi hiyo maarufu kama Ponta Vermelha usiku wa kuamkia leo.
Mstahiki Meya wa Jiji la Maputo Mh.David Simango akimvisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete vazi maalum na kumkabidhi Ufunguo wa jiji la Maputo kama ishara ya kumtunuku ukazi wa kudumu wa heshima wa jiji hilo wakati wa hafla iliyofanyika katika Jumba la Halmashauri ya jiji la Maputo
Mstahiki Meya wa Jiji la Maputo Mh.David Simango akijiandaa kumpa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ufunguo wa jiji la Maputo kama ishara ya kumtunuku ukazi wa kudumu wa heshima wa jiji hilo wakati wa hafla iliyofanyika katika Jumba la Halmashauri ya jiji la Maputo
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri huku Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo akishuhudia.
Rais Kikwete aongea na waandishi wa habari Bungeni Maputo hawapo pichani (picha na Freddy Maro)
Mstahiki Meya wa Jiji la Maputo Mh.David Simango akimvisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete vazi maalum na kumkabidhi Ufunguo wa jiji la Maputo kama ishara ya kumtunuku ukazi wa kudumu wa heshima wa jiji hilo wakati wa hafla iliyofanyika katika Jumba la Halmashauri ya jiji la Maputo
Mstahiki Meya wa Jiji la Maputo Mh.David Simango akijiandaa kumpa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ufunguo wa jiji la Maputo kama ishara ya kumtunuku ukazi wa kudumu wa heshima wa jiji hilo wakati wa hafla iliyofanyika katika Jumba la Halmashauri ya jiji la Maputo
Mstahiki
Meya wa Jiji la Maputo Mh.David Simango akijiandaa kumpa Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ufunguo wa jiji la Maputo kama ishara ya
kumtunuku ukazi wa kudumu wa heshima wa jiji hilo wakati wa hafla
iliyofanyika katika Jumba la Halmashauri ya jiji la Maputo
Spika
wa Bunge la Msumbiji Mh.Veronica Macamo akimkabirisha Rais Kikwete
katika bunge hilo,kumtambulisha kwa baadhi ya wabunge na kufanya naye
mazungumzo.Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri huku Spika wa Bunge hilo Veronica Macamo akishuhudia.
Rais Kikwete aongea na waandishi wa habari Bungeni Maputo hawapo pichani (picha na Freddy Maro)
RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA KISEREKALI SIKU MBILI MSUMBIJI
Rais
Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo wakati alipowasili
kuanza ziara ya kiserikali ya siku mbili .
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu kwa Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi wa
Msumbiji wakipokea heshima ya Urais wakiwa katika jukwaa
maalum(Saluting Dias) na kupigiwa mizinga 21 na kikosi cha jeshi la
Msumbiji.

Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na mwenyeji wake Rais Felipe
Jacinto Nyusi kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikozi vya
Ulinzi vya jeshi la Msumbiji.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi wa
Msumbiji wakipokea maua kutoka kwa watoto na kasha kupia nao picha.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi wa
Msumbiji wakipokea maua kutoka kwa watoto na kasha kupia nao picha.
RAIS KIKWETE NA RAIS NYUSI WAFANYA MAZUNGUMZO MAPUTO
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika eneo la mnara wa Mashujaa wa
vita vy ukombozi jijini Maputon a kuweka shada la maua(picha na Freddy
Maro).
RAIS KIKWETE AWAENZI MASHUJAA WA VITA VYA UKOMBOZI VYA MSUMBIJI
Post a Comment