Vijana
Kisiwanin Pemba wakiingia katika viwanja vya Gombani kuhudhuria Mkutano
wa Ufungaji wa Kampeni ya CCM ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali
Mohamed Shein.
Wanachama
wa CCM wakiwa katika viwanja vya Gombani ya Kale Pemba wakihudhuria
mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika viwanja vya
mkutano wa ufungaji wa kampeni katika viwanja vya Gombani ya Kale
akisalimiana na Viongozi wa CCM Pemba.
Mgombea
Mwenza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar Mhe Salama Aboud
Talib.akiwasili katika viwanja vya mkutano Gombani ya Kale. Pemba.
Mgombea
Mwenza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Mhe. Samia
Suluhu Hassan akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ziwani Pemba
Ndg Mohammed Othman Omar alipowasili katika viwanja vya mkutano.
Mgombea
Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa CCM kisiwani
Pemba alipowasili katika viwanja vya mkutano wa Kampeni Gombani ya Kale
Pemba.
Mgombea
Mwenza wa CCM Mhe Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balosi Seif Ali
Iddi, katika viwanja vya mkutano Gombani ya Kale.
Mgombea
Mwenza wa CCM Mhe Samia Suluhu Hassan akizungumzac na Mke wa Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Iddi. wakiwa katika
viwanja vya mkutano Gombani ya Kale Pemba.
Wananchi
wakiwa katika viwanja vya Gombani Pemba wakihughuria Mkutano wa
Ufungaji wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Hapa Kazi Tu.
Ndivyo
inavyoonesha Kijana huyu akisema akiwa na picha za Wagombea Urais
kupiti CCM katika viwanja vya mkutano Gombani ya Kale Pemba.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ziwani Pemba
kwa tiketi ya CCM Ndg Mohammed Othman Omar, alipowasili katika viwanja
vya Gombani ya Kale Pemba kuhudhuria Mkutano wa Ufungaji wa Kampeni ya
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Mwenyekiti wa CCMTaifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Viongozi wa CCM Kisiwani Pemba.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mgombea Mwenza
wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
jukwaa kuu.
Wanachama wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano wa Kampeni wa CCM uliofanyika viwanja vya Gombani ya Kale Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM Taifa wakati akiwasili katika jukwaa kuu la viongozi kwa ajili ya
kuwahutubia wananchi wa Pemba katika mkutano wake wa kampeni ya Ufungaji
iuliofanyika katika viwanja vya Gombani ya Kale.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Kuskazini Pemba Mhe Mberwa Hamad Mberwa akizungumza na
Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. Jakaya Kikwete katika viwanja vya mkutano wa
kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Mwakamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,
wakibadilisha mawazo kabla ya kuaza kwa mkutano wa ufungaji wa kampeni
kisiwani Pemba katika viwanja vya Gombani ya Kale.
Msoma
Quran akisoma quran kabla ya kuaza mkutano wa ufungaji wa kampeni ya
mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein. viwanja vya Gombani ya Kale.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Ndg Mberwa Hamad Mbwera akitowa salamu
za Wananchi kisiwani Pemba wakati wa mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais
wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia Wananchi wa
kisiwani Pemba katika mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar
kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein.uliofanyika katika viwanja vya Gombani
ya Kale.
Umati
wa Wananchi Kisiwani Pemba wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar
Kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein.katika viwanja vya Gombani ya Kale.
Hapa Kazi Tu
Wanachama
wa CCM wakishangilia wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa
Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, uliofanyika kisiwani Pemba katika viwanja
vya Gombani ya Kale.
Mgombea
Mwenza wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu
Hassan akiwahutubia Wananchi kisiwani Pemba katika mkutano wake wa
kampeni uliofanyika katika viwanja vya Gombani ya Kale Pemba na kufungwa
na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Wanachama
wa CCM Kisiwani Pemba wakishangilia Wakati Mgombea Urais wa Zanzibar
kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika mkutano wake wa
ufungaji wa kampeni uliofanyika viwanja vya Gombani ya Kale Pemba.
Viongozi
wa jukwaa kuu la viongozi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar Dk
Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Pemba katika mkutano wake wa
ufungaji wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya gombani ya kale
Pemba.
Wanachama
wa CCM wakiwa katika viwanja vya mkutano Gombani wakifuatilia mkutano
wa ufungaji wa Kampeni uliofanyika viwanja vya Gombani ya Kale.Pemba.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungani wa Tanzania Dk Jakaya
Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wa kisiwani Pemba wakati wa
ufungaji wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Gombani ya
Kale Pemba.
Wananchi
kisiwani Pemba Wakimsikiliza Mgombea Urais wa Znzibar kupitia CCM Dk
Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa mkutano wake wa ufungaji wa
Kampeni kisiwani Pemba uliofanyika katika viwanja vya Gombani ya Kale
Pemba.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya
Mrisho Kikwete akiwahutubia Wananchi kisiwani Pemba katika mkutano wa
Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, uliofanyika
katika viwanja vya Gombani ya Kale Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi katika viwanja vya
Gombani ya Kale Pemba na kuwaomba kura ya Ndio kumchagua yeye kuiongoza
Zanzibar kwa kipindi cha Pili kutekeleza Ilani ya CCM ya Uchaguzi ya
miaka mitano ijayo ya Uongozi wake.
WanaChama
wa CCM Kisiwani Pemba wakimsikiliza Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali
Mohamed Shein, katika viwanja vya Gombani ya Kale Pemba.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi
kisiwanin Pemba katika mkutano wake wa kampeni ya ufungaji uliofanyika
katika viwanja vya mpira vya Gombani ya Kale Chakechake Pemba.
Mwanachama
wa CCM akifuatilia mkutano wa Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed
Shein uliofanyika katika viwanja vya Gombani ya Kale Pemba.akiwa na
picha za Wagombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John
Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe Samia Suluhu Hassan.
Viongozi
wa Jukwaa kuu wakiitikia dua baada ya ufungaji wa Mkutano wa Kampeni ya
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya
gombani ya kale Pemba.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Fatma Karume wakati wa mkutano wa
kufunga kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,
iliofanyika katika viwanja vya gombani ya kale Chakechake Pemba.
Mwenyekiti
wa CCM Dk Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Wananchi katika viwanja
vya mkutano wa kampeni viwanja vya Gombani ya Kale.
Mgombea
Urais wa Zanzibar kupitia CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa CCM
na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete,
baada ya kumaliza kuwahutubia Wananchi wa Pemba katika mkutano wake wa
Ufungaji wa Kampeni kisiwani Pemba uliofanyika katika uwanja wa Gombani
ya Kale Chakechake Pemba.
Imetayarishwa na OthmanMapara.blogspot.
Email.othmanmaulid@gmail.com
Phone 0777424152 or 0715424152.
Zanzinews.com
Post a Comment