Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la misaada la Uingereza DFID Vel
Gnanendran alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuzungumza na Rais leo
(katikati) Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bibi. Dianna Melrose.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi wa Shirika la misaada la Uingereza
DFID Vel Gnanendran alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
[Picha na Ikulu.]
Post a Comment