Mshambuliaji
wa JKT Ruvu, Gaudence Mwaikimba akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Adrew
Vicent katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye
Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha
na Francis Dande)
Mchezaji
wa JKT Ruvu, Abdulrahaman Mussa (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka
Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mohamed Ibrahim katika mchezowa Ligi Kuu
Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume. Timu hizo
zilitoka suluhu.

Post a Comment