Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MUME: BADO NAMPENDA SHAMSA


ALIYEKUWA mzazi mwenziye na staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford, Dickson Matoke amesema kuwa ndani ya moyo wake bado anampenda sana na kumthamini mkewe huyo kama mama wa mtoto wake siku zote za maisha yake.

Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford akiwa na aliyekuwa azazi mwenzake Dickson.

Akichezesha taya na Amani, Dick alisema kuwa japokuwa wametengana na mzazi mwenziye huyo lakini ukweli unabaki kuwa yule ndiye mwanamke wa maisha yake popote aendapo hata kama hawapo pamoja kwa sasa.
“Shamsa ni mwanamke wa kipekee na sijaona tangu nimetengana naye, namuomba Mungu siku moja naamini atarudi na tutakuwa pamoja kama zamani ili tumlee mtoto wetu, Terry,” alisema Dick.
GPL
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top