Stori hii ninayotaka kukusogezea
inamuhusu Aunt Ezekiel ambae siku kadhaa zilizopita alikua kwenye
headlines za millardayo.com kuhusiana na kusupport majukwaa ya kisiasa.
Aunty alipost picha ya gari lake jipya
kwenye instagram na kuandika kuwa gari hilo halijatokana na fedha za
kampeni ya chama chochote bali amezawadiwa na mpenzi wake ambaye ni
dancer wa Diamond Platnumz aitwae Moze Iyobo….’
Baada ya kupost picha ya hii AUDI, Aunty aliandika >>> ‘My new bby, Thanks a million baba Cookie#kwauchaguzi mana hamchelewi, we ni zaidi ya kiboko yangu #birthdaypresent# mana hamchelewi kusema CCM #happyfamily’
Millard ayo
Post a Comment