Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Picha za Nuhu Mziwanda na Shilole Wakiogelea Kwenye Swimming Pool zazua Balaa Kwenye Mitandao ya Kijamii




Kwenye mitandao ya kijamii kimenuka kuhusiana na mahusiano ya mwanadada shilole pamoja na nuhu mziwanda baada ya kupost picha zao wakiaogelea.
 
Mashabiki walianza kumshambulia Nuhu mziwanda kuwa kufuga nywele za kwapa  na ni uchafu  huku akiwa anaishi na mwanamke.
Download Our App

1 comments:

hawa nao tumewachoka hawaishiwi mtukio

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top