Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Polisi Waizingira Ofisi Ya CUF Zanzibar.......Nii Baada ya Maalm Seif Sharif Hamad Kutangaza Matokeo yake

 
 
Hali  ya  Usalama  Zanzibar  sio  nzuri, Polisi  wameizingira  Ofisi kuu  ya  CUF  baada  ya  mgombea  urais  wa  chama  hicho,Maalim Seif Sharif  Hamad  kujitangaza  mshindi  dhidi  ya  mpinzani  wake  ambaye  Dr All Mohamed  Shein

Hali  sio  nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana   wa  CUF  kuingilia  barabarani  wakidai  wanashangilia  ushindi wa  mgombea  wao  wa  Urais.
 
FFU  wameingilia  kati, wakatoa  maonyo  wakiwataka  wananchi watawanyike  lakini  wakakaidi, ndipo  nguvu  ya  ziada  ya  mabomu  ya  machozi  ilipotumika
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top