Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa mgodi mara
baada ya kuwasili eneo la mgodi wa urani katika mradi wa mto mkuju
wilaya ya namtumbo mkoa wa ruvuma Oktoba 21,2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua mgodi wa urani mkoani Ruvuma jana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelekezo mara baada ya kuzindua mgodi wa urani mkoani Ruvuma jana.
Post a Comment