Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa
magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital Waziri wa Afya
Kebwe Steven Kebwe kama ishara ya kuikabidhi Wizara ya Afya hospitali
hiyo leo wakati wa hafla ya ufunguzi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la Msingi katika jengo jipya la
Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha
Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali
hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan
figo na moyo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu awamu
ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa, na Katikati ni Waziri wa Afya Kebwe
Steven Kebwe.
.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Mh.Benjamin William
Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa
iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin
Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti
na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa
katika hospitali mpya ya The Benjamin Mkapa UltraModern Hospital mjini
Dodoma leo(picha na Freddy Maro)
Post a Comment