leo
Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Kombwey ametoa takwimu au idadi ya
watanzania waliojiandikisha kwa ajili ya kupiga kura kwenye Uchaguzi
mkuu 2015.
Akiongea mbele ya waandishi wa habari leo Octoba 12, 2015 alisema…’Leo
tume ya Uchaguzi ilikuwa imekutana na vyama vya kisiasa kuwapa taarfia
kuhusu maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 25 kwasababu zilikuwa
zimebaki siku 12 au 11 sasa miongoni mwa taarifa za msingi ambazo
walikuwa wazipate kwanza kuhusu shughuli za mchakato wa daftari la
upigaji kura limeshatoka na tayari yameshapelekwa mikoani’ –Kailima Kombey
‘Tume
ya taifa ya uchaguzi ilitoa ilitoa taarifa ya awali takwimu ya watu
walioandikishwa ni idadi ya watu milioni 23,782,558 hiyo ndio taarifa ya
kwanza tulizozitoa za jumla za wapiga kura waliojiandikisha na takwimu
zilizotoka kwenye vituo vya kupigia kura tume ikabaini watu 181,452
walikuwa wamejiandikisha zaidi ya mara mbili wameshatolewa kwa hiyo
takwimu zao zimeondolewa’ – Kailima Kombey
Post a Comment