Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya
kupiga kura leo katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya
Msoga wilayani Bagamoyo leo.
Ofisa
katika kituo cha kupigia kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha
Msoga akihakiki kadi ya kupiga kura ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Ofisa katika kitu cha kupiga kura akimkabidhi Rais Kikwete karatasi za kupiga kura.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipakwa wino kuonyesha kuwa amepiga kura katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga, Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo.
(Picha na Freddy Maro).
Mama
Salma Kikwete akisubiri kadi inayokaguliwa na msimamizi wa Kituo
alichojiandikisha na hatimaye kupiga kura katika Ofisi ya Afisa
Mtendaji Kata ya Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Mjini.
Mama Salma akisubiri moja ya fomu za kuchagua Rais,Wabunge na Madiwani
Msimamizi wa kituo akiangalia picha ya Mama Salma katika dafutari la wapigakura
Mama Salma akiweka tiki kumchagua kiongozi BORA.
Mama Salma akitumbukiza karatasi ya kura ya Diwani.
Mama Salma akitumbukiza karatasi ya kura ya Mbunge.
Mama Salma akitumbukiza karatasi ya kura ya Rais.
Mama Salma akiwekwa vino na msimamizi wa kituo unaotambulisha kuwa amepiga kura.
Mama Salma akiwatakia kila la heri wananchi wanaotarajia kupiga kura kituoni hapo
Wananchi wakiwa katika mstari tayari kuelekea kupiga kura.
Wananchi wakiwa katika mstari tayari kuelekea kupiga kura.
Mama Salma akiagana na baadhi ya wananchi Uwanja wa Ndege wa Kikwetu Lindi.
Mama Salma akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Jordan Rugimbana.
Mama
Salma akipanda Ndege na kuwapungia mkono Maofisa waliopo Uwanja wa
Ndege Kikwetu Lindi tayari kuelekea Dar es Salaam baada ya kupiga kura.
Post a Comment