Aliyekuwa
mgombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia chama cha demokrasia na
maendeleo CHADEMA Saed Kubenea ameibuka mshindi katika jimbo hilo kwa
kuwabwaga wagombea wenzake akiwemo mshindani wake wa karibu Didas
Masaburi wa CCM
Matokeo
hayo ambayo yametangazwa rasmi, yamesema kuwa kubenea
amepata ushindi wa kura 87, 606 ambazo hazijafikiwa na mgombea mwingine
yeyote wa jimbo hilo
Post a Comment