Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Paul Masanja
(kulia) akipokea shada la maua kutoka kwa Cecilia Mrope Afisa kutoka
Wizara ya Nishati na Madini.
Aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (kulia),
akibadilishana Nyaraka za Makabidhiano na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati
na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto). Maswi ameteuliwa kuwa Katibu
Tawala wa Mkoa wa Manyara.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Omari Chambo (Kushoto),
akisaini Nyaraka za Makabidhiano sambamba na aliyekuwa Katibu Mkuu wa
Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi ambaye ameteuliwa kuwa Katibu
Tawala Mkoa wa Manyara.
Post a Comment