"CCM TAWI LA UINGEREZA Linatoa Pongezi nyingi sana kwa ushindi mkubwa
aliyopata mgombea wetu wa urais Dr. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na
wabunge, madiwani na wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine
kufanikisha ushindi huu mkubwa.
CHAMA CHA MAPINDUZI - UINGEREZA."
on Friday, October 30, 2015
Post a Comment