|
Mwenyeikiti
wa umoja wa wananchi wa Kibada, Kigamboni Jijini Dar es salaam Lugano
Mwampeta akimpa maelekezo kamishna wa Operation jeshi la zimamoto na
uaokoaji Tanzania CF, Rogatus Kipali wakati wa shughuli ya kumkabidhi
gari moja la kuzima moto lililofanyiwa matengenezo kwa nguvu ya wananchi
wa kibada kwa ajili ya kuwasaidia wakazi hao na majanga ya
moto,makabidiano hayo yaliyofanyika Kigamboni Kibada Jijini Dar es
salaam.
Gari la Jeshi la Polisi la zimamoto lilofanyiwa matengenezo na wananchi wa Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi wakifanya zoezi la uzimaji moto mara baada ya kukabidhiwa gari hilo.
|
|
Mwenyekiti
wa kamati ya maandalizi iliyofanikisha upatikanaji wa Gari la
zimamoto, Mussa Bibose akitoa maelekezo kwa wananchi waliohudhuria
shughuli ya kukabidhi gari hilo Kibada,Kigamboni Jijini Dar es salaam. |
|
Mwenyekiti
wa Umoja wa wananchi wa Kibada, Kigamboni Jijini Dar es salaam Bwana
Lagano Mwampetu akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya gari moja ya
zimamoto iliyopatikana kwa Juhudi za umoja huo na kukabidhi kwa
Kamishna wa Operation Jeshi La Zimamoto na uokoaji Tanzania CF, Rogatus
Kipali. |
|
Kamishna
wa Operation Jeshi La Zimamoto na uokoaji Tanzania CF, Rogatus Kipali
akiangumza na wananchi waliojitokeza wakati wa kukabidhi Gari hilo
ambapo amewapongeza wananchi wa Kibada kwa juhudi kubwa za kuhakikisha
kuwa wanaleta maendeleo katika maeneo yao. |
|
Mwenyeikiti
wa umoja wa wananchi wa Kibada, Kigamboni Jijini Dar es salaam Lugano
Mwampeta akimpa maelekezo kamishna wa Operation jeshi la zimamoto na
uaokoaji Tanzania CF, Rogatus Kipali wakati wa shughuli ya kumkabidhi
gari moja la kuzima moto lililofanyiwa matengenezo kwa nguvu ya wananchi
wa kibada kwa ajili ya kuwasaidia wakazi hao na majanga ya
moto,makabidiano hayo yaliyofanyika Kigamboni Kibada Jijini Dar es
salaam.
Gari la Jeshi la Polisi la zimamoto lilofanyiwa matengenezo na wananchi wa Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi wakifanya zoezi la uzimaji moto mara baada ya kukabidhiwa gari hilo.
|
on Thursday, October 22, 2015
Post a Comment