Balozi
wa maziwa makuu nchini Kenya, katika wizara ya mambo ya nje, Muburi
Muita,MBS akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya
ushiriki wa vijana katika uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho Oktoba 25
mwaka huu pamoja na ushiriki wa vijana katika uchaguzi huo.
Mwenyekiti wa wa kamati ya uchaguzi wa vijana wa nchi za maziwa
makuu ,Adv.Kabyemela Lushagara akitoa maada katika mkutano wa vijana wa
nchi mwanachama wa maziwa makuu pamoja na kuzungumza na baadhi ya vijana
wa nchi za maziwa makuu leo katika mkutano uliofanyika jijini Dar es
Salaam kuhusiana jinsi democrsia jinsi ilivyokua hapa nchini na ushiriki
wa wapiga kura kesho Oktoba 25 mwaka huu.
Baadhi
ya vijana walioshiriki mkutano wa vijana wa nchi za maziwa mkuuu
wakimsikiliza mtoa mada leo katika mkutano uliofanyika jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya wadau na vijana wa nchi za mwanachama wa maziwa makuu wakimsikiliza Balozi
wa maziwa makuu nchini Kenya, katika wizara ya mambo ya nje, Muburi
Muita,MBS leo wakati akiipongeza Tanzania kuendeleza uchumi pamoja na
kushirikiana na nchi mwananchama kuunda uchumi wa nchi Balozi pia
alipongeza nchi kwa kukua wa demokrasia
Balozi wa
maziwa makuu nchini Kenya, katika wizara ya mambo ya nje, Muburi
Muita,MBS akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa nchi mwananchama wa
maziwa makuu leo jijini Dar es Salam.
Post a Comment