Shirika la utangazaji la Ujererumani,DW limeripoti leo mchana kuwa idadi kubwa ya watu wameanza kuondoka mkoani Mtwara wakihofia hali ya usalama wakati wa uchaguzi.
Kwa mujibu wa Dw,watu wengi wanaoondoka ni wanawake na watoto, hali ambayo inaelezewa inatokana na vurugu za gesi za mwaka 2013, kuonekana kwa baadhi ya vifaa vya jeshi na wanajeshi wakiwa kwenye vifaru.
Post a Comment