Waziri
Mukuu Mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa, akizungumza na waandishi wa
habari mara baada ya kuteuliwa na kuthibitishwa na bunge mjini Dodoma
jana, ambapo anatarajiwa kuapishwa leo Ikulu ya Chamwino.
Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim
Majaliwa, akitoka kwenye ukumbi wa bunge mjini dodoma jana mara baada ya
kuthibitishwa uteuzi wake na bunge.
Waziri Mkuu Mteule akiwashukuru wabunge mara baada ya kumthibitisha.
Waziri Mkuu
Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa,
akitoka kwenye ukumbi wa bunge mjini dodoma jana mara baada ya
kuthibitishwa uteuzi wake na bunge. (Picha: Francis Dande)
Post a Comment