Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Bilioni 183 Za Tiketi Za Wateule Zingenunua Airbus Moja


Wallahi, Kwa Mujibu Wa ' The Africa Report', Bilioni 183 Za Tiketi Za Wateule Zingenunua Airbus Moja Kama Hiyo Pichani..Na Chenji Ingebaki...!
Ndugu zangu,
Kwa takwimu alizotoa Mh. Rais Magufuli, kuwa shilingi bilioni 183 zimetumika kununulia tiketi za kusafiri nje, ina tafsiri ifuatayo kwa mujibu wa jarida la ' Africa Report' toleo nr 74 la mwezi Oktoba na ambalo nimelisoma. Lina taarifa, kwenye ukurasa wa 56, kuwa Serikali ya Rais Kabila imenunua kutoka shirika la ndege lililofilisika la Alitalia, nchini Italia, moja ya ndege zake aina ya Airbus A320 kwa gharama ya dola za Marekani milioni 50. Fedha ambazo wateule wetu wametumia kwa tiketi za safari za nje ni bilioni 183, sawa na dola za Marekani takribani milioni 84..!

Naam, nimepata kuandika, kuwa Tanzania ina vyote kasoro Watanzania..!
Maggid.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top