|
Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiwa ameongozana na Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Geleard Masenga wakati
alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi huyo mwishoni mwa wiki. |
|
Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akisalimiana na Askofu mteule wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo
alipowasili katika ofisi ya Mkurugenzi wa hosptali ya rufaa ya KCMC
.(kulia) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hopstali hiyo,Dkt Gileard Masenga. |
|
Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiteta jambo na Askofu Mteule
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria (KKKT) Tanzania ,Dkt Fredrick Shoo . |
|
Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akipeana mikono na Mkurugenzi
mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Gileard Masenga mara baada
ya kutamburishwa kuwa ndiye mtendaji mkuu wa hospitali hiyo kwa sasa. |
|
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akizungumza jambo mara baada ya utamburisho wa mkurugenzi huyo. |
|
Mkurugenzi
Mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Gileard Masenga akizungumza
jambo mbele ya Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi (hayupo
pichani). |
|
Dkt Mengi akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC. |
|
Mkurugenzi
mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akizungumza
kuhusu ujenzi wa ngazi kuu za kungilia wodini katika hosptali ya Rufaa
ya KCMC ambazo ujenzi wake uligharimu kiasi cha sh Mil 30 ,Fedha ambazo
zilitolewa na Dkt Mengi. |
|
Askofu
Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria ,(KKKT) Dkt Freedrick Shoo
akisoma taarifa ya Hosptali hiyo katika hafla fupi ya uzinduzi wa ngazi
kuu za kuingilia wodini katika hosptali ya rufaa ya KCMC ,ujenzi
uliofadhiliwa na Dkt Mengi. |
|
Askofu
Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheria ,(KKKT) Dkt Freedrick Shoo
akimkabidhi Dkt Mengi taarifa ya Hosptali hiyo wakati wa hafla fupi ya
uzinduzi wa ngazi kuu za kuingilia wodini katika hosptali ya rufaa ya
KCMC ,ujenzi uliofadhiliwa na Dkt Mengi. |
|
Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi
rasmi wa matumizi ya ngazi kuu za kuingilia wodini katika hospitali
hiyo. |
|
Baadhi ya wananchi walioshuhudia tukio hilo. |
|
Mwenyekiti
mtendaji wa Makampuni ya IPP,Dkt Reginald Mengi akiongozana na
Mkurugenzi mtendaji wa Hopstali ya Rufaa ya KCMC wakipita katika ngazi
kuu zilizofanyiwa ukarabati hii karibuni. |
|
Dkt
Mengi akitizama baadhi ya maeneo katik awodi za hospitali ya rufaa ya
KCMC ambayo miundo mbinu ya maji pamona na vyoo imekuwa chakavu. |
|
Sehemu ya maeneo ambayo yameathirika na uchakau wa miundo mbinu ya maji. |
|
Dkt Mengi akisalimiana na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hosptali ya Rufaa ya KCMC. |
|
Mkurugenzi
mtendaji wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Giliard Masenga akimuonesha
Dkt Mengi maeneo mbali ya hosptali hiyo ambayo upanuzi umeanza
kufanyika kama sehemu ya kuboresha huduma ya afya. |
|
Dkt Mengi akiaga mara baada ya kutembelea hospitali ya rufaa ya KCMC pamoja na kuzindua ngazi kuu za kuingilia wodini.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
on Monday, November 16, 2015
Post a Comment