Dkt. Tulia Ackson Mwansasu
Bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt. Tulia Ackson
Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge, kwa kura 250 sawa na 71.2% dhidi ya
mpinzani wake, Mh. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%.
on Thursday, November 19, 2015
Post a Comment