Mkurugenzi
wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dr. Helen K. Bisimba
amepata ajali ya gari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es
salaam.
Amekimbizwa hospitali tunaendelea kufuatilia maendeleo yake na
kuwajulisha . Pichani juu na chini ndilo gari alilokuwa akisafiria.
on Monday, November 9, 2015
Post a Comment