Mgombea
kiti cha unaibu spika chini ya mwamvuli wa vyama vinavyounda UKAWA
Mh.MAGDALENA SAKAYA kutoka chama cha wananchi -CUF amesema uzoefu wa
uongozi ambao anao ni sababu tosha ya yeye kufaa kupewa dhamana ya
kushika kiti hicho cha unaibu spika
Loading...
Post a Comment