Naibu
spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania anatarajiwa
kuchaguliwa kesho Alhamisi majira ya saa 10 jioni mara baada ya bunge
kupitisha jina La waziri mkuu wa serikali ya awamu ya 5
Kwa
mujibu wa ratiba ya shughuli za bunge kazi ya kumchagua Naibu Spika
itatanguliwa na uthibitisho wa jina la waziri mkuu majira ya saa 10:00
jioni na ndipo uchaguzi wa naibu spika utafuata
Post a Comment