Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA DUA YA KUOMBEA TAIFA AMANI, JIJINI DAR



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akishiriki dua ya pamoja na baadhi ya viongozi, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani Tanzania, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Agape Television Network (ATN) Dkt. Anny Fernandes, wakati wa  hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam
Sheikh Alhad Mussa, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ukumbini humo. 
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Agape Television Network (ATN) Dkt. Anny Fernandes, wakati wa  hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, akizungumza wakati wa hafla hiyo, alipokuwa akiomba dua maalumu.
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik, akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akiagana na baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla ya kuliombea Taifa amani wakati akiondoka ukumbini baada ya kuhutubia katika hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na baadhi ya wananchi waliohudhuria hafla ya kuliombea Taifa amani wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Kamanda Suleiman Kova, wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam jana.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Libelata Mulamula, wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya viongozi wakiwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
  Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Taida Bara, Philip Mangula, akiteta jambo na aliyekuwa mgombea urais wa Chama chaTLP, Maximillian Lymo, wakati walipokuwa kwenye hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani, jijini Dar es Salaam jana.
 Sheikh Alhad Mussa, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ukumbini humo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top