Masanja Mkandamizaji
MSANII
maarufu na mwigizaji Emmanuel Mgaya maarufu kwa jina la (Masanja
mkandamizaji) ameahidi kuvaa viatu vya Deo H. Filikunjombe kwa kuwaletea
maendeleo wananchi wa jimbo la Ludewa na kusema ana uwezo mkubwa na
kasi kama ya marehemu Filikunjombe ambaye alikuwa rafiki yake.
Ameyasema
hayo alipokuja kuchukua fomu ya kugombea kupata ridhaa ya Chama cha
Mapinduzi,jumla ya watu tisa akiwemo mdogo wa marehemu Fillipo
Filikunjombe ambaye ni mwanasheria wa TCRA wamechukua fomu ili kuweza
kuomba ridhaa.
Post a Comment