Idadi ya wabunge ni 394 waliosajiliwa ni 369 na waliohudhuria Bunge ni 351
- Apigiwa kura 258
- Zilizoharibika ni kura 2
- Kura za hapana 91
Waziri Mkuu
Mteule Majaliwa Kassim Majaliwa apata asilimia 73.5 ya kura zilizopigwa
na wapunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
on Thursday, November 19, 2015
Post a Comment