Muigizaji na Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu ameandika ujumbe kuhusu ‘anachofikiria’ kuhusu kifo chake, kitendo kilichowaachia maswali mashabiki wake ya kwanini amewaza na kuamua kuandika maneno hayo.
Hakuna binadamu asiyefahamu hatma yake hapa duniani, licha ya kwamba wengi huwa hawapendi hata kuzungumzia swala la kifo, lakini mrembo Wema Sepetu hana tatizo katika hilo.
Kupitia Instagram Wema ameandika:
“Kumbuka kwamba kuna kifo… Iko siku utaitwa Marehemu…. Put that in your head… Im thinking my day is soon…. Alhamdulillah for everything tho…. “
Post a Comment