Aliyekuwa
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, (hawapo pichani), ambapo
aliwaeleza kuwa amefungua kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Jimbo la
Temeke,ili haki ipatikane. Kushoto ni Katibu wa Jimbo la Temeke, Kassim
Kiame.
Walioshitakiwa ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, ambaye pia ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Temeke, Protidas Kagimbo Mbunge aliyeshinda, Abdallah Mtolela na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

Post a Comment