Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na Balozi
wa Norway Nchini Bi. Hanne - Marie Kaarstad kwenye ofisi za CCM Makao
Makuu mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akimsindikiza
Balozi wa Norway Nchini Bi. Hanne - Marie Kaarstad aliyemtembelea leo kwenye ofisi za CCM
Makao Makuu mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akiagana na
Balozi wa Norway Nchini Bi. Hanne - Marie Kaarstad kwenye ofisi za CCM
Makao Makuu mjini Dodoma.
Loading...
Post a Comment