Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo ameuawa leo mjini Katoro baada ya kushambuliwa kwa mapanga na shoka na kumjeruhi vibaya sehemu
mbalimali za mwili wake hasa kichwani wakati akifanya kampeni za kumnadi diwani wake
Mawazo
aliyewahi pia kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha amefariki dunia
akiwa hospitalini alipokimbizwa katika jitihada za kujaribu kuokoa
maisha yake. Mganga Mkuu Geita amethibitisha.
Picha kwa hisani ya Mitandao ya Kijamii
Picha kwa hisani ya Mitandao ya Kijamii
Post a Comment