Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim
Bakhresa alipowasili Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika ziara ya
kutembelea maeneo ya ujenzi wa Mji mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa
na Kampuni ya Azam Group kwa kushirikiana Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar
Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na viongozi mbali mbali wakati alipowasili Fumba Mkoa wa
Mjini Magharibi jana katika ziara ya kutembelea maeneo ya ujenzi wa Mji
mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group kwa
kushirikiana na Serikali nya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na viongozi mbali mbali wa Kampuni ya Azam inayoshuhulika
na Ujenzi wa Mji mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na Kampuni ya
Azam Group kwa ushirikiano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika
Kijiji cha Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika ziara maalum ya
kutembelea maeneo hayo
Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo kwa ufupi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya
Azam Bw.Said Salim Bakhresa alipowasili Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi
jana katika ziara ya kutembelea maeneo ya ujenzi wa Mji mpya wa Nyumba
za kisasa zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group kwa kushirikiana
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,(kushoto) Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitega
Uchumi Zanzibar Nd,Salum Khamis Nassor
Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kwa ufupi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni
ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa alipowasili katika eneo
linalotarajiwa kujwga kiwanda cha utengezaji wa Lami katika Kijiji cha
Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika ziara ya kutembelea maeneo ya
ujenzi wa Mji mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na Kampuni ya Azam
kwa kushirikiana Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,
Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kwa ufupi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni
ya Azam Bw.Said Salim Bakhresa alipowasili katika eneo linalotarajiwa
kujwga kiwanda cha utengezaji wa Lami katika Kijiji cha Fumba Mkoa wa
Mjini Magharibi jana katika ziara ya kutembelea maeneo ya ujenzi wa Mji
mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group kwa
kushirikiana Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa ufupi Mkurugenzi Mkuu
Bw.Roberto Soponto wa Kampuni ya Azam Group kuhusu Ujenzi wa Nyuma za
Kisasa takriban Miatano zinazotarajiwa kujengwa katika fukwe za Kijiji
cha Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja alifanya ziara ya kutembelea
maeneo hayo jana,ambapo ujenzi huo utafanyika kwa ushirikiano wa
Kampuni ya Azam Group na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,(kulia)
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar Nd,Salum Khamis Nassor
na (kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Bw.Said Salim Bakhresa
Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akifuatana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Bw.Said
Salim Bakhresa (katikati) Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A. Bw.Ayoub
Mohammed Mahmoud (kushoto) na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitega Uchumi
Zanzibar Nd,Salum Khamis Nassor wakati alipofanya ziara maalum ya
kutembelea maeneo ya ujenzi wa Mji mpya wa Nyumba za kisasa
zitakazojengwa na Kampuni ya Azam Group kwa kushirikiana Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar
Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitega
Uchumi Zanzibar Nd,Salum Khamis Nassor wakati alipokuwa akiangalia
ramani ya Ujenzi wa Nyuma za Kisasa zitakazojengwa na Kampuni ya Azam
Group kwa kushirikiana Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika maeneo ya
fukwe za Kijiji cha Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja alipofanya
ziara maalum
Rais
wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Bw.Hudhaifa Yussuf Ali Mchoraji
wakati alipokuwa akiangalia zamani za ujenzi wa Nyumba za kisasa
zitakazojengwa katika fukwe za Kijiji cha Fumba Mkoa wa Magharibi Unguja
alipokuwa katika ziara maalum ya kutembea maeneo hayo jana,ujenzi huo
utafanyika kwa ushirikiano wa Kampuni ya Azam Group na Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar. Picha zote na IKULU, Zanzibar
Post a Comment