|
Mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro,Amos Makala akizungumza nawanahabari pamoja na
Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro juu ya tishio la ugonjwa
hatari wa Kipindupindu. |
|
Baadhi
ya Waganga wakuu wa wilaya za mkoa wa Kilimanjaro pamoja na waandishi
wa habari wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Amos Makala ,(
hayupo pichani).
|
|
Baadhi ya waandishi wa habari wakiuliza maswali mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala (hayupo pichani) |
|
Mganga
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Hajati Dkt Mtumwa Mwako (kushoto )
akiandika mambo kadhaa ambayo yameibuliwa na waandishi wa habari katika
mkutano huo. |
|
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini. |
on Saturday, November 14, 2015
Post a Comment