Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib
mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi,Ofisi
Ndogo Lumumba.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti Ndugu Anamringi Macha mara baada
ya kuwasili kwenye ofisi za CCM Lumumba.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na wapenzi na wanachama wa CCM waliojitokeza kumpokea
kwenye Makao Makuu ya Chama Ofisi Ndogo Lumumba.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisani
kitabu cha wageni mara baada ya kuingia kwenye ofisi yake,waliosimama ni
Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib (kulia) na Naibu
Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Rajab Luhwavi.
Loading...
Post a Comment