Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RC MAKALA NA SPIDI KALI KAMA DK. MAGUFULI ... AWATEMBELEA WAFUNGWA

2. Mkuu mkoa akipokelewa kwa shangwe gerezani
Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Amos Makalla amekabibidhi vifaa vya michezo ikiwemo jezi, mipira,nyavu za magoli na vikombe kwa ajili ya timu ya wafungwa na askari gereza la Karanga Moshi ikiwa ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa hivi karibuni baada ya kufanya ziara gerezani hapo na kupokea maombi
Katika hafla ya kukabidhi vifaa hivyo yenye thamani ya shilingi milioni tatu na nusu aliwakumbusha wafungwa na mahabusu kuwa michezo hujenga umoja, michezo ni burudani, michezo ni kwa afya na zaidi kwa wenye vipaji michezo itumike kulinda vipaji vyao na siku wakitoka waviendeleze vipaji
Vifaa alivyokabidhi ni pamoja na  nyavu za magoli, vikombe 2 vya kushindaniwa,jezi kwa timu 5 za wafungwa na mahabusu, mipira 10 kwa ajili ya wafungwa na mahabusu, jezi moja na mpira mmoja kwa ajili ya timu ya netball ya wafungwa wanawake na jezi moja , mipira 3 na nyavu za magoili kwa ajili ya timu ya askari magereza
Uongozi wa gereza, wafungwa na mahabusu wamemshukuru sana mkuu wa mkoa kwa msaada huo na wamemuhaidi kumuuenzi na kila mwaka watakuwa na ligi itakayoitwa Makalla Cup na wamewataka viongozi na wadau wengine kite nchini kuiga mfano alioonyesha mkuu wa mkoa wa kilimanjaro


2. Mkuu mkoa akipokelewa kwa shangwe gerezani




3. Mkuu mkoa akifunga penati timu ya mahabusu Mchezo jana mahabusu 1 na wafungwa 1.


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top