|
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene
akiwaonesha waandishi wa Habari picha rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambayo itakuwa
ikitumika katika ofisi za Serikali na Binafsi ambayo inapatikana Idara
ya Habari (MAELEZO) kwa gharama ya Shilingi 15,000/ |
on Friday, November 6, 2015
Post a Comment