Tanzania Freestyle football championship (TFFC2016) ambalo ni shindano la kutafuta/kusaka vipaji vya kuchezea mpira yaani freestyle soccer/Freestyle Football wengi hupenda kuita hivyo ambalo linatarajiwa kuendeshwa kama vile mashindano mengine ya kutafuta vipaji kwa njia mbalimbali ikiwemo ile ya TV show.Waweza wasiliana nao kupitia anuani hapa +255 654 955 825/ +255 655 049 647
Loading...
Home » Unlabelled » SHINDANO KUBWA LA KUSAKA VIPAJI VYA KUCHEZEA MPIRA 'FREESTYLE FOOTBALL CHAMPIONSHIP' KUANZA HIVI KARIBUNI
SHINDANO KUBWA LA KUSAKA VIPAJI VYA KUCHEZEA MPIRA 'FREESTYLE FOOTBALL CHAMPIONSHIP' KUANZA HIVI KARIBUNI

Post a Comment