Mkuu
wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akizungumza na mtoto wa mkazi wa
Kitongoji cha Madukani Wilayani Simanjiro Helena Saitabau, ambaye
alipatiwa sh 120,000 za mfuko wa Maendeleo ya jamii nchini (Tasaf) kwa
lengo la kusaidia kaya masikini.
Mkuu
wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akizungumza na mkazi wa Kitongoji
cha Madukani Wilayani Simanjiro, Loshilaa Moiyo, ambaye alipatiwa
sh110,000 za mfuko wa Maendeleo ya jamii nchini (Tasaf) kwa lengo la
kusaidia kaya masikini.
Post a Comment