Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TB JOSHUA AKUTANA NA MH. LOWASSA JIJINI DAR

Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua (wa pili kulia), akizungumza jambo na Mwenyeji wake, Aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa (wa pili kushoto) pamoja na viongozi wakuu wa UKAWA, Mh. Freeman Mbowe (katikati), Mh. James Mbatia (kushoto) pamoja na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipofika nyumbani kwa Mh. Lowassa, Masaki jijini Dar es salaam kwa mazungumzo maalum.
Mh. Edward Lowassa akisalimiana na mgeni wake, Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, wakati alipomtembelea kwa mara nyingine nyumbani kwake, Masaki Jijini Dar es Salaam leo Novemba 4, 2015.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top