Loading...
BREAKING NEWSS..... MCHUNGAJI GWAJIMA AZUSHIWA KIFO
Kuna habari inazunguka kwenye mitandao ya kijamii inayosomeka Breaking News.
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Gwajima amefariki dunia katika hospital ya TMJ.
Chanzo kimedai amekufa kwa shinikizo la damu.
Poleni sana waumini wa kanisa la ufufuo na uzima. Sent as received. Mwenye update anaweza sema"
Ukweli ni kuwaTaarifa hizo si za kweli.
Mchungaji Gwajima yuko Kigoma na leo amehubiri yeye. Ana ziara ya makanisa yote nchini Tanzania. Hayupo dar zaidi ya mwezi mzima. Uthibitisho toka kwa muumini
Post a Comment