Mjumba
wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akimkaribisha, Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipowasili, Ikuu Ndogo ya Chamwino
mkoani Dodoma, kuendesha Kikao Cha Kamati Kuu Maalum ya CCM
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa na Mjumba wa Kamati Kuu ya
CCM, Rais Dk. John Magufuli alipowasili, Ikuu Ndogo ya Chamwino mkoani
Dodoma, kuendesha Kikao Cha Kamati Kuu Maalum ya CCM
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu,
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili ukumbini
kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani Dodoma. Kulia
ni Rais Magufuli
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mjumbe wa
Kamati Kuu, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi,
baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo,
Chamwino mkoani Dodoma
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mjumbe wa
Kamati Kuu, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, baada ya
kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino
mkoani Dodoma
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mumbe wa
Kamati Kuu, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, baada ya kuwasili
ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani
Dodoma
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akimsalimia Mjumbe wa
Kamati Kuu mwenzake, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Maaliwa
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mumbe wa Kamati Kuu ya CCM,
Rais Dk. John Magufuli kabla ya kikao kuanza. Katikati yao ni
Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
Viongozi hao wakiendelea na mazungumzo ya hapa na pale kabla ya kikao kuanza
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu akaya Kikwete akifurahia ambo na Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana kabla ya kikao kuanza
Wajumbe wakisimama ukumbini kumlaki Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kabla ya kikao kuanza
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk John Magufuli na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa ukumbini
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye akibadilishana
mawazo na Katibu wa NEC anayeshughulikia mambo ya Nje Dk. Asha-Rose
Migiro ukumbini. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Mohammed Seif
Khatib
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM, Rajabu Luhavi akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar, Vuai Ally Vuai na Balozi Seif Ali Idd ukumbini
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Pindi Chana na Asha Aboud wakibadilishana mawazo ukumbini
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa utangulizi kumkaribisha Mwenyekiti kufungua kikao
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu
Maalum ya CCM, leo, Ikulu Ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma. PICHA ZOTE NA
BASHIR NKOROMO
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu maalum mjini Dodoma, wengine pichani ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula (kulia), Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kushoto) na anayeonekana kwa nyuma ni Balozi Seif Idd.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameketi tayari kuongoza kikao cha Kamati Kuu maalum mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu maalum mjini
Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kikao maalum
cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma.Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu wakifuatilia kwa makini ajenda zilizowasilishwa kwenye kikao maalum kutoka kulia ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dkt. Asha-Rose Migiro, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Mhe. Nape Nnauye na Jerry Silaa.
Post a Comment